Habari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa.
Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi
Ushauri wenu wanaJF
Habari wana JF,
Jamani napitia changamoto mtoto amezaliwa hana tundu la haja kubwa, mwenye tatizo kama langu anielimishe maana hata sielewi anatakiwa akafanyiwe upasuaji Muhimbili, gharama zake sijazijua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.