Recent content by KING_ETHAN

  1. K

    Natafuta Mwenza wa Kuoa (bahada ya Maisha ya Jera)

    Habari zenu Ndugu zangu? Kwanza nafuraha kuwa mahala hapa, Mimi ni Mvulana wa miaka 29, nimeamua kutafuta mwenza wakuishi naye, ili nianze maisha mapya kabisa ya uraiani baada kutoka jela tarehe 17 oktoba 2014 (juzi) ambapo nilikuwa nikitumikia kifungo cha miaka 10, tangu 15 oktoba 2004 bahada...
  2. K

    Naomba msaada wa ku-unlock router ya Smart

    Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteni
  3. K

    Ninaflash na ku unlock simu kwa bei rahisi sana

    hapana ni kifaaa cha internet
  4. K

    Natafuta mkopo wa million 7 na nusu- kurudisha mil 8 ndani ya mwezi mmoja

    me nafanya hyo biashara ya kukopesha ila mpaka nitoe lazima nijirizishe na hyo gari kama haijwahi chukuliwa mkopo mahala popote,pia kadi na gari vikae ofisin kwangu, mana unaweza kaa nayo ikapata tatizo isiweze kuwa na thamani ya awali, lakini pia nahitaji kuiona physical so if u ready nicheki...
  5. K

    Ninaflash na ku unlock simu kwa bei rahisi sana

    nataka ku unlock smile router unaweza?
  6. K

    Car for sale/exchanges

    Make: Toyota Nadia Make Year: 1999 Body type: Station Wagon Type: 5 Doors Engine Capacity: 1900 CC Engine Type: 3S Mileage: 140,500 kms Colour - Red Registration number T...ASQ Reasons to sale: Fall of Economic/ We can exchange with Virtz if Possible Working Conditions: In working Conditions...
  7. K

    Nadia For Sale/Exchange with Virtz

    Fungua kila kitu kiko hapa.
  8. K

    Nadia For Sale/Exchange with Virtz

    Make: Nadia Year: 2000 Model: Nadia Body type: Station Wagon Type: 5 Doors Engine capacity: 1900CC Engine Type: 3S Mileage: 140,500 kms Colour - Red (very clean) Registration number T...ASQ Reasons to sale: Fall of Economic Click here for photos PRICE: 5M Serous Buyers only: Call 0682 134 488
  9. K

    Natafuta Mchumba

    namaanisha wewe unaye wako wa ku........ndomana unani nyasa nyasa:angry:
  10. K

    Miguno ya kimapenzi kutoka chumba cha jirani zimenifanya kuvunja amri za Mungu

    Niko mbezi Beach kaka dah! Naitamani hiyo Fursa!
  11. K

    Natafuta mchumba

    Mimi ni mvulana miaka 28, naishi dar natafuta mchumba mkristu, kwa walio siriaz tu. Ani pm
  12. K

    Natafuta Mchumba

    bora useme wewe brigedia manyota, mamaafacebook ananinyanyasa kwakuwa yeye anawake etii:angry:
  13. K

    Natafuta Mchumba

    Habari zenu wadau, Mimi ni Mvulana wa miaka 28, Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo, Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu, hata asipokuwa na kazi sawa, ilimradi awe mkweli na aliyeumizwa na kuelewa maumivu ya mapenzi. kwa aliyesiriaz...
Back
Top Bottom