jamaa alinunua mbuzi, akampelekea mke wake na kumpa maelekezo kama ifuatavyo;
mke wangu huyu mbuzi akishachinjwa, nyama tutapika pilau, ngozi tutatengeneza ngoma. manyoya tutatengeneza mto wa kulalia, mapembe na mkia tutauza kwa mganga, tukishakula nyama mifupa tukaisage tutengeneze...