Nakumbuka mwaka 2018, mechi ya kwanza nilienda mahali wao wanatumia azam tu, nikawaambia waweke rwanda tv mana wanaonyesha,dah kufika muda wa mechi tu rwanda tv ikazimwa
Kuna ndugu yangu kuna msichana alikuwa anachakatana nae,wala hawajawahi ongea mambo ya ndoa, siku moja jamaa anapokea simu ngeni kumbe bi mkubwa wa demu wake anamwambia jamaa unakuja lini kuleta barua mwanangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.