Kauli zenu za kufurahia matukio zitawafikisha pabaya. Siku zote ukitaka kuleta ustawi wa jamii, hakikisha mambo ya msingi yatakayoleta ustawi wa jamii yamekuwepo. Unapodai Leo ustawi wa jamii ni nini kigezo cha huo ustaw? Unapotaka mtaalamu atoe huduma bora km za afya, je dawa zipo, cuteness...
Wanajamvi nawahitaji hawa watu wawili waliovuliwa uanachama toka Chadema watueleze Watanzania, hizo propaganda wanazotoa ndiyo majibu ya shida za Watanzania?
Hayo marumbano yanawasaidia nini wauza nyanya, mboga au wafanyakazi na wakulima? leo mfuko wa mbolea unauzwa Tsh. 50,000 kule Songea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.