aliyoongea kinje ni sahh kbsa,kingunge akism kuw ccm haikfnya kitu bac yy nae pia ni m1 wapo sasa km alshndw kuishaur serkl ya ccm wakat huo atawz sas hv jua limzma?
kawaida yang huw cmuung mkono mtu alieshndwa na kdgo hald bdo akacmama na kudai kuw anauwzo wa kufnya kikubw.lowasa alkw mbunge na jimbo lake halna maj had sas half anatka atuaminsh kuw atawza elimu bure kwa ngaz zote...
mtu huu ndo mwaka wa kwanz kupga kur lkn kaja na moto eti mabadlko wakat hat maisha hajayaanz,cc wakongwe tupo kmya coz tunajua kuw hyo anaminyana ila mwisho wa cku atajikuta amekaa kwny cti ya dereva....
mzee ameongea sna ila tatzo kubw la cc vjna tulioweng tunfuata mkumbo na ndio maan tunpga kelel bila ya kujua ni ip hatm yake.big up sna dr.hatuwz kuchagua mtu ambae wizara zote alizopew aliharbu....
mm naamin kuw atakaept ndio raic wet ila camin km kupt kwa lowasa kutlta mabadlko ya aina yoyot coz alshkuw kiongoz na athar zake hazkuonkna zitaonkna vp kpnd hki ikw kwny jimbo kwnyw alshndw kut2a yalyokwpo..
kwa mara ya kwanz nackia mkutano unaghairshw kwa sabab ya wing wa wat tna wapnz wa ukawa wakfka mbal wakidai wat zaid ya 100 wamfkshw hosptal,wakat aliefkshw hosptal ni mt m1 tna hospital ya ngamiani.hapa kazi tu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.