Hakuna aliyekua tayari na ndoa ya bomani ishu ilikua Ni lazima mmoja kati yetu abadili dini kumfuata mwenzake
Wakati mapenzi yanakolea mtu unasahau kuhusu vipingamizi Hadi pale unapofika wakati wa kufanya maamuzi so ๐๐ผ
Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo.
Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu.
Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea.
Thread hii hapa:
Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?
Miaka mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.