Recent content by King Savi

  1. King Savi

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    It's seems like you have something uncommon, Please ongea zaidi Kuhusu hili Kuna mahali nilishafanya kazi na mzungu alikua na shamba ila Ni porini alikua anayajua maeneo yale kuliko hata wenyeji pia alikua anajua sehemu karibia zote zenye BICON tofauti na sie mpaka uzione, Inawezekana...
  2. King Savi

    Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Nafikiri unamjudge tofauti pia unataka kujua anachofikiria au unachowaza kwa urahisi zaidi, Labda nikwambie kitu itakusumbua sana kuweza kuelewa ni mpaka siku akwambie au aamue kukuelewesha kama anavyokwambia anapohitaji vitu vingine. Binafsi ninacharacter zinazoendana nae kidogo labda...
  3. King Savi

    Mwongozo wa kufanya biashara ya kusafirisha zao la Nyanya

    Nyanya ya Ruaha inachangamoto kiasi 1. Asili ya Ruaha mbuyuni Kuna joto kwahiyo nyanya yake inawahi kurojeka 2.Usafiri: Kama utaweza kujaza gari pekeako itakua poa, ila Kama hutajaza gari inakulazimu uunganishe na wengine sasa hapo ndio changamoto inaanzia a) Kama nyanya ilikua...
  4. King Savi

    Mwongozo wa kufanya biashara ya kusafirisha zao la Nyanya

    Nina experience kidogo kwa kutokea makambako 1.Fika makambako eneo linaitwa soko la nyanya hapo, utapata nyanya kutokana na uhitaji wako, yaani Kuna wamama hapo watakutafutia nyanya na watakutafutia vijana wa kupanga kwenye box (mtakubaliana bei ya kukaba nyanya) 2. Being ya box empty la...
  5. King Savi

    Duuh, wanawake visirani sana

    Wakuu heshima kwenu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika yote mnayopitia zaidi neema yake ikawe juu yenu. Jana yamenikuta kijana mwenzenu, Shemeji yenu mtarajiwa anafanya kazi ofisi moja na bamkwe wake ila hawajatambulishwa tuu.... Sasa katika mishe za maisha huyu mtarajiwa alifanya matumizi...
  6. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Hapa ndio nimelizwa sana, kuagiza samaki mtu anapotea na hela, Pole sana mkuu
  7. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Kabisa mkuu, hawa jamaa kupata maendeleo Ni kazi sana, binafsi sio muongeaji ila Kuna muda unahitaji kuwa na rafiki hata wakubadioisha nae mawazo ila kwa huku nina mwaka wapili sasa sina rafiki, Ni geto,kompyuta, mishe zangu bhaasi Siwezi kukaa na watu hawanipi changamoto wala idea mpya na...
  8. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Asante mkuu, ila nakwambia bora hao waluguru, wafipa Ni wavivu na wengi wao ndio vibarua, yaani ukitaka kufanya kazi inayohitaji kibarua si rahisi kupata mtu tofauti na hawa sasa ufanyaji wao kazi usipomsimamia ujue kazi imeharibika, yaani Ni shida tuu hakuna afadhali Lakini huu mkoa Ni...
  9. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Duuh pole pia ndugu, hii tabia inawaharibia sifa wooote hata Kama haupo hivyo, yaani Mimi nashindwa kumpa kazi mfipa na sahivi nimekua affected kabisa nikitaka kufanya kazi na mtu lazima nimuulize wewe Ni mf...pa japo sio poa ila nafanya kujihadhari mapema. Anyway Bado nipo ufipani hapa maeneo...
  10. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Mkuu sio kwa Nia mbaya Ila hawa jamaa wameutibua sana moyo wangu, nilikua na project niliotaka kuifanya Ila nashindwa maana inabidi nipate vijana kutoka mkoa niwape maradhi na chakula kitu ambacho sijitoshei kwasasa. Changamoto sana hawa viumbe wa Mungu
  11. King Savi

    Ilivyo ngumu kufanya Biashara na Baadhi ya Wafipa

    Naunga mkono hoja, hili kabila Ni tatizo sana (Nimeweka kiujumla kwasababu asilimia kubwa wanatabia hizo yaani katika kumi bhasi Tisa wanatabia za kishamba sana) Nilishawahi kumpa kazi mzee na familia yake anilimie siku nimemlipa 80% ya hela hakuonekana mwezi mzima baada ya hela kuisha ndio...
  12. King Savi

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Daahh mkuu nmeanza life jipya na tayari nina geto najipanga Mungu asaidie nipate mtaji tuu
  13. King Savi

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Mkuu ahay maisha yanatuforce kupambana bila kuchoka, Mungu NI mwema sana anatutia nguvu japo kwa akili zetu ni ngumu
Back
Top Bottom