Hii thread ni ya Uongo sana mabadiriko hayo hayahusiani kabisa na gharama za M-PESA ni vizuri kabla hujapost kitu ukajiridhisha na hiyo taarifa yako kuliko kudanganya watanzania wenzako kwa habari zisizo na uhakika kwani mabadiriko hayo yanahusu system ya M-PESA na si gharama ya M-PESA kama...
Vodacom ndo mpango mzima jamaa hawana janjajanja na kesho wanagulio pale makao makuu yao jengo namba2 naenda kujibebea moja mitandao mingine igeni Vodacom msitapeli watanzania
Hii nchi tayari ishawekwa mfukoni we andika hapa utauona ufalme wa wwatawala wa Tanzania utakoitwa polisi na baada ya siku tatu mahakamani wakati kunawafungwa wanadubiri kusikilizwa kesi zao kwa miaka 6 sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.