Recent content by King of Kinzudi

  1. K

    Dowans: Another Richmond in making?

    Huu ni uhuni. Hakuna maan ya kung'olewa wakati faida imeshapatikan asilimia mia mmoja. Ujinga na upumbavu umejaa serikalini. Imejua lini kuwa Richmond in ya kihuni?. Termination hii ya mkataba haina maana yoyote kwa kuwa mkataba unefika mwisho na ukaongezwa.
  2. K

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    Takukuru haina maana yoyote na ingebidi ni vema ikavunjwa. Mlarushwa na mafisadi wako serikalini ambayo ndi inamteuwa PCCB. sasa PCCB itamchunguza serikali. Itaanzia wapi?. PCCB haikuanzashwa kwa matakwa ya ananchi bali kwa shinikizo la nchi wahisani.
Back
Top Bottom