Recent content by King nkamu

  1. King nkamu

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Mmmmmmm wacha tuwe na subra tutapata undani wa Habari wakija wajuzi
  2. King nkamu

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Nyambafu kabisaa magu anahospitali yake watu wanahoji uendeshaji wa hizi hospital
  3. King nkamu

    Kusoma Masters Open University of Tanzania

    Shukrani mkuu naomba kuuuliza Open University of Tanzania inatoa Masters ya Electronic coursework?
  4. King nkamu

    Tahadhari kwa walimu wanaotafuta kazi

    Mimi huyu jamaaa nimewasiliana nae saidi ya Mara moja tenaaaaa anajifanya ni mtu mwenye huruma Kisha anamshirikisha jamaaa yake mmoja kana kwamba ni mtu wa system kuwa ukimtumia pesa anaomba pesa ya kuprint Kisha anakwambia ili akusainie tuma pesa ukimzongua anaanza kukuomba as if ni mtu wa...
  5. King nkamu

    Tahadhari kwa walimu wanaotafuta kazi

    Huyu jamaaa Id yake ni "WA IGMA "
  6. King nkamu

    Physics

    WAKUU KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA JUU YA SHULE INAYOHITAJI MWALIMU WA PHYSICS PLEASE TUTAARIFIANE WAKUU
  7. King nkamu

    Baraza la Mawaziri laifutia ZECO deni la VAT la Bilioni 22.9

    Mkuu kaishiwa pumzi naona anatupeleka korongoni
  8. King nkamu

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Mmmmmmmh kwani watu wasiojulikana wamejulikana kwa nondo walisemaa waliomteka wapo mtaani so aendelee kuwa lupango je kwa lissu????
  9. King nkamu

    Waziri wa Fedha: Ukusanyaji wa kodi unashuka, hauridhishi!

    Mda utafika tuu watu watasema ukweli na kumbuka kwa wakuu maaana serikali hii imetawaliwa na poropoganda ili Hali ukweli upo wazi kuwa Hali ya uchumi ni tete sanaaa
  10. King nkamu

    Kilichomponza Tundu Lissu ni maneno haya aliyoandika JamiiForums...

    Kwa wakati huu unaweza kuongea machache tuu ukahojiwa uraia so hayo yote si sababu kwani nape aliongea nini cha ajabu kakobe kuhojiwa uraia nae vipi so
  11. King nkamu

    Mwalimu wa physics

    Pow mkuu
  12. King nkamu

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Dalili si nzuri mliokaribu na mkuu mwambieni maana Kuna kitu huenda kimekaribia kujitokeza wacha tuzidishe maombi Amani idumu
  13. King nkamu

    Mwalimu wa physics

    Wakuu natafuta kazi mimi ni mwalimu nimehitimu shahada ya elimu katika chuo cha kikatolic mwenge mwaka 2018 katika masomo ya physics na ICT pia nauwezo wa kufundisha mathematics olevel
Back
Top Bottom