Hii ni njema sana. Tanzania tupo vizuri sana katika sekta ya afya. Hongera Mhe. Rais , SSH kwa uongozi uliotukuka. Hakika umeacha alama katika maisha ya watanzania wazalendo. Mungu akupe maisha marefu.
Uzuri ni kwamba wanaolalamika ni wachache waliozea hela za ujanja ujanja, pia uzuri kuwa JPM ameandika historia ambayo itakumbukwa mpaka kizazi cha tano cha watanzania, maendeleo aliyowapatia watanzania yanawakumbusha watanzania wengi uzalendo wa kujenga nchi, uaminifu na focus kama kiongozi wa...
Lisu wenu hawezi, hawezi. Baada ya uchaguzi mtaanza kuimba wimbo wa kuibiwa kura, na katiba mpya. Akili za kuku hizi, kweli Lisu, anafkiri ataweza. Hatashinda, na baada ya uchaguzi kesi zake zinamsubiri.
Wanaenda kutafuta maisha, ungejiunga nao, ukaoshe wazee Ulaya, wakati mapori ya kilimo na ufugaji yapo tele TZ, unataka Serikali ikugawie pesa na ukoo wako. Hakuna nchi inayofanya hivyo duniani. Jitume kijana. Usipofanyakazi huwezi kula.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.