Recent content by King Leopold II

  1. King Leopold II

    Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Magufuli 2020 hawezi hata kupata 20% ya kura zitakazopigwa. Magufuli jinsi alivyoharibu hata nzi hawataki kumtua.
  2. King Leopold II

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Nchi inaongozwa hovyo hovyo.... Huyu Rais wetu kwanini ana kigugumizi kuchukua hatua kwa Makonda? Kuna nini hasa?
  3. King Leopold II

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Maccm na polisi wenu mnadhani kumkamata Tundu Lissu tutasahau ya Bashite ng'oooooo!!!! Tumechagua Halichachiiiiiiiiiiiiiiii!!!! Tunataka vyeti mezani
  4. King Leopold II

    Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Haya mambo hutokea katika kipindi ambacho utawala umeparaganyika, katika kipindi ambacho utawala unafitinika. Mawakili siyo maboya
  5. King Leopold II

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Wema karibu CHADEMA, karibu kwenye mapambano ya kuipigania haki na utawala wa sheria
  6. King Leopold II

    Rais Magufuli apumulia mashine kuifunika Legacy ya Kikwete

    Tulimpa nchi Sauli.... sasa anawaua raia wake
  7. King Leopold II

    Tunaomuunga Mkono Magufuli Hatufurahishwi na hizi "Distractions"

    Hapana. Mpaka sasa watanzania hawaamini kama gari walilopanda dereva aliforge leseni
  8. King Leopold II

    Tunaomuunga Mkono Magufuli Hatufurahishwi na hizi "Distractions"

    Sidhani kama anajua anachokifanya. Nchi imekuwa ngumu viatu vinampwaya
  9. King Leopold II

    Mbowe ameshindwa kesi kabla hata haijaanza!

    Mkuu, Nilipoona thread ya huyu mnafiki nilitamani kuona post yako humu. Hata hivyo natamani nione zaidi ya hii.
  10. King Leopold II

    Ridhiwani Kikwete: Ni radhi kufa maskini kuliko kuuza Dawa za Kulevya

    Kuwa mwuza unga siyo jambo geni.... kinachomsaidia ni kile kitendo cha kufungiana gidamu halafu akamwombea nafasi Marinda kwa baba
  11. King Leopold II

    Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    Umoja wa mataifa, jumuiya za ulaya zote ni hovyo maana Hazina uwezo wa kutatua migogoro ambazo Hazina maslahi kwao. Bashar Al-Asaad amewaua raia wengi dunia imeshindwa kumwadhibu. Wapeleke nyokonyoko xao huko
  12. King Leopold II

    Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata. Hivi sasa yupo central police ya Arusha. Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado.... Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri =======...
  13. King Leopold II

    Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro Bukhay, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema, Katibu wa chama Wilaya ya Siha, Diwani wa Nasai Solomon Mmary, Diwani Viti Maalum Witness Riwa na Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya Siha wamekamatwa na Polisi...
  14. King Leopold II

    Meya Jiji la Arusha ashtukia Ufisadi ujenzi wa matundu mawili ya Choo kwa mil.12

    Mstahiki meya Jiji LA Arusha Kalist Lazaro ameshtukia harufu ya ufisadi kwenye ujenzi wa matundu mawili ya Choo cha zahanati ya Elerai. Mstahiki meya akiwa pamoja na wajumbe wa Kamati ya fedha walikuwa wakifanya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayojengwa kwa mapato fedha za...
Back
Top Bottom