Recent content by King Kisali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umenunuliwa rasmi

    Watanzania shida zikiwachosha wakaamka usingizini haya ni mambo madogo bila kuamka hata kianzishwe chama gani hamna kitakachofanyika .
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Naona Chadema wameenda kumpa political mileage Samia ionekane anajali demokrasia kwa wafadhili .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Kundi la kukodi .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hili la kulipia kibao cha namba za Makazi Watanzania wenzangu na ninyi ujumbe umewafikia?

    Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    January Makamba mbaya sana , hata aibu hana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Mkuu hawa ni matapeli nimeenda kuuliza Tanesco wanasema sio wao nenda TRA nimeenda TRA wanasema andika , nimeandika barua wanasema mpaka makao makuu huku wanaendelea kykata tena kila mwezi .
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Daylight robbery .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Sio kweli huu ni wizi ,mimi sikutuma maombi mwezi wa nane , kwahiyo na majirani zangu wote walituma maombi mwezi wa nane.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hakuna cha errors wala nini inamaana majirani wangu wote wana hiyo errors wote wamekatwa hivyo, maana nimewauliza ,tena mmoja anamita nne kila mpangaji kamuwekea mita yake kote wamekata 10000+1000 =11000 hawana aibu .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hichi wanachokifanya sio haki kabisaaa ,hata kama tuna shida ya kukusanya kodi sio kwa wizi huu ndugu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Kwahiyo P yaani ccm ni undugunization 100% , Samia amuachie mdogo wake damudamu aiseeee maccm mna shidasana na aibu hamna .
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    Dalali awe rais ? Aiseeee kazi ipo ? .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    P kijani kibichi hamna msafi hata mmoja , P endelea tu kuwapigia debe na kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu, mpaka maccm menzio yaimalize hii nchi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Ujumbe wao hauna athari ? + or - ? Kijani kibichi ni zero brain .
Back
Top Bottom