Tarehe 28 September 1999 redio SAFM (South Africa) ilitangaza kifo cha Mwl Nyerere.
Tena wakarudia kutangaza 11 October 1999 kuwa Mwl ametutoka huko Uingereza, Tena wakatangaza 14/10-1999.
Baada ya kila tangazo waliomba radhi kwa taarifa zisizosahihi lakini kinachoshangaza ni kwanini redio ya...
"If the Court still makes mistakes by condemning the Innocents, Why do we still allow it to provide rights?"
Kama tunajua na kukubali kuwa kuna watu wasio na hatia wako jela, kwanini bado tunaiamini na tunaiachia mahakama kutupatia au kuhukumu kwa haki?
Naamini tunaweza pata suluhisho jingine...
JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-AFRIKA.
Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓,
Kabla hatujaendelea, naomba nikuweke sawa kwenye maneno Shule na Elimu,
Elimu (Knowledge/Wisdom) ndio muhimu kwenye maisha ya mwanadamu na sio Shule ambayo ipo ndio kama mfumo wa Elimu wa...
BIBLE'S CONSPIRACIES 1.
MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU BIBLIA ambayo yatakushangaza hata kama umekuwa Mkristo uliyapata kipaimara na kubatizwa.
Namba 6 itakushangaza!
Tafadhari USISOME kama hukupitia Bible School.
Imeandikwa na King Jim
1. Biblia ndio kitabu kilichokamilika zaidi nilichowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.