Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
Tamisemi japo mlitoa nafasi za wanafunzi kufanya upya machaguo ya shule za advance kupitia mfumo wenu wa selform lakin cha ajabu mewapangia wanafunzi wengi shule tofauti na zile walizochagua despite ufaulu wao kuwa mzuri lakin bado mmewatupa ktk shule za ajabu ambazo hawakuchagua
Je,nini maana...
Update:Tokea asubuhi hsptl haina maji na umeme had muda huu hospital ipo gizaa, hsptl ina back up generator mbili lakin zote mpaka muda hazifanyi kazi ilihali ratiba ya mgao wa umeme ilitoka kabla lakin hakuna chochote kilichofanyuka mpaka kujiandaa na suala hili wenyewe wanajali maslahi...
Identity yetu ni Drs na wafanyakazi qualified , TUNAKUJUA WW NA BOTS WENZIO MMEVOTUMWA HAPA KUDEFEND BLINDLY , JIBU HOJA TAJWA HAPO JUU
THIS TIME WE MEAN BUSINESS TAREHE 14 SIO MBALI ITAFAHAMIKA (WELL ORGANIZED ) Istanbul
Pia hsptl hiyo identity yake ni kama inafichwa hata ukipata pale ni vigumu kuweza kutambua kama kuna hsptl hamna bango elekez lililo kubwa pia haina hata tovuti japo ina miaka zaid ya 50
Ipo Tazara pembeni ya daraja la mfugale, jina lingine inaitwa Tanzania occupational health services (T.o.h.s ) imahudumia wakazi wengi sana wa temeke , gombo la mboto ,buza , bugurun, chanika na ilala pia . Ni hsptl kongwe japo imedumaa sababu ya upigaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.