Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
Niaje wadau kiukweli mm nina chimbo la fixed matches limelipata kuna jamaa mmoja mgiriki hivi anauza sure games ila ni pesa ndefu kidogo lakini jumanne nilimlilia sana kwamba nashida akanipa game 1 ina odds 10 correct score akanambia nistake more nikatatue shida zangu pia nipate pesa ya kumlipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.