Wanachokifanya watawala kwa sasa ni msiba mkubwa sana baadae. uasi ndani ya DR Congo haikuwa bahati mbaya, angalia somalia, njoo kwa Sudani katika nchi zote hzo haikuwa bahati mbaya kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe hata kama kuna baadhi ya nchi waasi wana ufadhili mkubwa nje ya mipaka yake...
Na ndo hivyo watu wakidai haki yao wanaambulia kutekwa, kuteswa bila huruma, kubambikiziwa kesi za uongo, kuuliwa kwa kupigwa risasi. halafu kajitu kalichoshiba maharage kwake kanakuja kuropoka mama anaupiga mwingi!!! Kwa kuteka watu, kubambikia watu kesi za uongo, na kuuwa watu wasio na hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.