Recent content by king can janja

  1. king can janja

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

    Mimi ninachokiona kwa wachezaji wetu.wanacheza kama wako mazoezin.Hawamsumbui golkpa kwa mashuti kwa maana yanakuwa machache golini .hata wapinzan wanapata nguvu ya kushambulia
  2. king can janja

    JamiiForums Tanzania Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

    Ni kweli kabisa unachosema, hata mimi nimeliona,serikali isiifumbie macho jambo hili tunaiomba itusaidie
  3. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupanga ratiba ya lishe ya mtoto mwenye damu na uzito pungufu

    Nashukuru sana,mtoto tulimpeleka hospitali maralia hana ,wakampima damu wakagundua kuna infection,kwenye kadi inasoma kijani yaani 7.7gm ,wakaniambia nimkazanie lishe maana anaonekana ana utapiamlo,macho yanaonekana ni meupe sana,nikawa nampa uji lishe'ndizi mbivu,yai na parachichi na wali tepe...
  4. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupanga ratiba ya lishe ya mtoto mwenye damu na uzito pungufu

    Asante!l lakini bado sijapata jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupanga ratiba ya lishe ya mtoto mwenye damu na uzito pungufu

    Mbona Hamnisaidii yaani kimya!mwenzenu nawaomba msaada wa ratiba ya lishe kwa mtoto wamiezi kumi na moja sasa na ana damu pungufu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupanga ratiba ya lishe ya mtoto mwenye damu na uzito pungufu

    Naombeni msaada wa haraka kwa kunipatia ratiba ya wiki yaani j3 hadi j2 niweze kumpangia ni lishe gani itakayo msaidia. nawasilisha ombi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la mwili wa mtoto wa miezi kumi kuwa moto

    Miezi7 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. king can janja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la mwili wa mtoto wa miezi kumi kuwa moto

    Jamani naombeni msaada mwanangu anasumbuliwa sana, Mwili hadi kichwani kinakuwa na moto iwe wakati wa joto au wakati wa baridi hali inabaki ileile, tumetumia panado kila siku kushusha joto lakini haimsaidii. Naomba msaada kuondoa hili tatizo la muda mrefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. king can janja

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    nashukuru nachukua ushauri ulionipa kwa kwenda hospitali,asante
  10. king can janja

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    Hawajui
  11. king can janja

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    Ndiyo
  12. king can janja

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mjamzito

    Ndugu dr, naomba msaada mke wangu bsdo mwezimmoja kujifungua ila ameanza kukooa kooa na pia tumbo hua linamuuma. Hi ni kwasababu gani na dawa yake ni ipi,
  13. king can janja

    JamiiForums Tanzania Serikali mnasemaje kuhusu uchafuzi wa mazingira unaoendelea Kawe?

    Naomba mtembelee kawe,dampo limeamia barabarani na niwiki inaenda ya pili , uchafu unanuka na inzi ,mafunza yanatapakaa .Serikali inatoa tamko gani ?
  14. king can janja

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mimba inayoanza

    Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !
  15. king can janja

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mimba inayoanza

    Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa zaidi.!Asante
Back
Top Bottom