Recent content by kinega mtafutaji

  1. K

    muhtasari

    muhtasari ni nini?
  2. K

    msaada kidogo wakuu

    hivi jamani vyuo vya ualimu bado vinapokea maombi sasa ivi?????
  3. K

    msaada kidogo

    hivi jamani vyuo vya ualimu bado vinapokea maombi sasa ivi?????
  4. K

    naomba ushauri

    sawa ila mm nilimaliza kidato cha 4 na nilipata credit 2 nikarudia tena nikapata 2...
  5. K

    Siipendi CHADEMA

    ukweli uko wazi ..kwa mambo wanayofanya CHADEMA ni ukweli mtupu ndo maana ccm wanajitahidi kuuficha ukweli huo wanajikuta WAMEFELI
  6. K

    naomba ushauri

    naombeni ushauri wenu Nina credit nne za civic, history, geography, na kiswahili... je ni kozi gani nikisoma itaendana na hayo masomo coz nimeshindwa kwenda form v
  7. K

    uahauri

    pamoja sana kaka nashukuru kwa ushauri wako.
  8. K

    uahauri

    naombeni ushauri.. mimi nilimaliza kidato cha nne 2010 na nilifanikiwa kupata history- C na civics-C ...mwaka Jana nilirudia(2012) nikapata geography-C na kiswahili-B je naweza kwenda government schools?? Na suala lingine mimi nataka kuchukua combination ya HGK je badae itanihusisha na...
  9. K

    msaada

    jaman Nina tatizo la Kutokupata choo zaidi ya siku tatu hadi nne..na nikipata huwa napata maumivu makali sana.. je tatizo ni nini??? nisaidieni
  10. K

    Msaada

    tafadhal jaman nahitaji no ya. Dr isaack ndodi
Back
Top Bottom