Kama ilivyo desturi za kiafrika, mtu anapopatwa na msiba basi huwa kunapitishwa daftari la rambirambi. Lililowekwa picha ya marehemu au jina la aliyefiwa katika sehemu za kazi marehemu alipokuwa anafanyia kazi, au kwa mfiwa aliyepatwa na msiba huo ikihitajika fedha na ukipewa kidaftari na karamu...
Yah zipo luxury km adventure pia kuna bas lingine wapinzani wao adventure jina limenitoka hizi kampuni zina luxury full ac wanatoa chakula, vinywaji, kila siti inasehemu ya kuchaji bei ni elfu 70 km haijaongezeka
Panda bas mkuu maana tren sio usafiri wa uhakika mm nilipanda treni hiyo xpress nilijuta nilipoteza muda pamoja na kutumia pesa nyingi mpk nafika kgm nilikuwa nimetumia laki mbili na30
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.