Recent content by Kindam

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aguswa na utendaji wa JWTZ, amwaga vyeo na ajira

    Obama alitushauri tuwe na Taasisi imara na sio Viongozi imara maana viongozi uja na kupita hila Taasisi zinaishi milele ukizipa mamlaka ya kisheria e.g CAG swag Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Sitanyamaza hata kama adhabu itakuwa ni mauti

    Hatuwezi kufanana kufikiri na ndio mana hata haiba zetu ni tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Sitanyamaza hata kama adhabu itakuwa ni mauti

    Silly jaribu kujiuliza na kutafuta logic ya hili.Kanuni za Bunge zinasema kwa Mbunge kutoudhuria mikutano mitatu ya Bunge anakuwa amejiondoa kuwa Mbunge na je! Adhabu hiyo anayopewa Lema ya kutohudhuria Mikutano ya Bunge mitatu ambayo inakinzana sana na Mbunge kutokuwa Mbunge hasipohudhuria...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni Jambo la Kusikitisha - ‘Azimio la Dodoma’ Kumbe ni Maelekezo

    Hivi issue ni kuogopa atafanywa nini au kuheshimu Katiba walioapa kuilinda.Kwanini asijihudhuru Spika kama issue ni atafanywa nini basi afanywe Spika mana ndie aliyechemka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Dkt. Nshala aitaka Serikali kukamilisha uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu

    Suala la haki ya mtu ya kuishi ambalo linatambuliwa na Katiba linahusianaje na Chama? Fafanua usitulishe matango pori Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Dkt. Nshala aitaka Serikali kukamilisha uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu

    Kwahiyo ukitetea Haki za binadamu mfano Haki ya kuishi kwa mujibu wa Katiba unakuwa Mpinzani!! Tundu Lissu alitaka kupokwa haki yake ya kuishi.Na paka leo hii hakuna suspect wala Kesi Mahakamani.Citing example in America juzi tu hapa kapigwa risasi Rapa Nipsey kesi tayari inaunguruma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    Hili linazungumzika Kaka.Itaangaliwa na status ya gari Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    Kwani Life span ya gari mfano ist ni miaka mingapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    Dhamana ni kupafahamu ninapoishi,Wadhamini kwa idadi utakayoitaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    Mkataba wa miaka miwili na nusu yani miezi 30 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

    Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye gari ya Mkataba 175,000/- kwa wiki na kama hesabu ya wiki 160,000/-. Napatikana kwa namba 0687399176...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa madereva hizi hapa

    Nina Leseni daraja A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F G napatikana kwa namba 0687399176 kwa gari ndogo kama za Uber,Taxify,Little account zangu zipo active either kwa Mkataba au hesabu au kama kuna fursa ya kazi nyingine ya driving.Nina uzoefu wa kuendesha long trips.I also know how to speak fluently and...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    This does not make sense.Hivi kuitangaza hao Wakenya hawawezi kuja kuiona hapa? Sisi tuliiona Nchi gani na ni Nchi gani iliileta hapa ili tuione kama sisi tunavyoipeleka Kenya? Je! Wakenya hawawezi kwenda kuiona huko ilipotengenezwa na kuongea na watengenezaji? Kuipeleka Kenya, Tz km sehemu ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aandika barua rasmi ya kudai mshahara wake bungeni

    Stupid Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom