Hakika mkuu,ni kuto kufahamu.Kuna jamaa yangu alifanyiwa operation ya Bawasiri na bado tatizo likaendelea kumtesa.Nilivompa ushauri wa kunywa maji kila siku hajalalamika tena hilo tatizo
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri.
Tatizo la vidonda vya tumbo,kwangu lilikuwa ni la zaidi ya miaka mitano ,licha ya kujitahidi kutumia dawa...
Habari ndugu zangu,
Nakumbuka kipindi cha mwendazake,awamu ya kwanza kulikuwa na msanii aliyejulikana kama Mzalendo aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta.
Nilitegemea wasanii wasimame kutetea rasilimali za taifa na hasa katika sakata linaloendelea la Mkataba katia ya DP world na Tz kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.