Unajua ukweli ni uhalisia wa kitu,jambo fulani leo hii nashangaa sana Kwa nini tumekua na mitizamo tofauti juu ya jambo ambalo ni FACT wapo wanaotetea na ku decorate na cover-up ili kupindisha ukweli lakini UKWELI UPO na umebaki vilevile,wapo wanaotetea Kwa ujinga na maslahi yao binafsi lakini...
Utawala wa Magufuli aliondoa kabisa uwizi wa kura akareplace uizi wa mchakato rejea uchaguzi wa 2020 na huu wa 2025 vituo vilikua havina watu pia kura nyingi ziliharibiwa lakini wakaja na matokeo yao nje ya karatasi zilizopigwa
Duniani watu tunaangalia ni impact gani umeacha kufa ni Kwa kila mtu omba usiwe kati ya wale waliokufa jana na ww ambaye upo hai leo hii tofauti isiwe kujaza choo tuu ,maisha utakumbukwa Kwa legacy so usiogope kufa kwenye mambo ya msingi ukaja kufa sababu ya ulevi au uzinzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.