Recent content by kims.gruppe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu Ndg. Ombeni Sefue

    Usibubujeee maneno,Sefue haendaniii na hiiiiii kasiiiii,Atupisheeeeeeee
  2. K

    JamiiForums Tanzania IGP Afanya Mabadiliko Ya Makamanda Wa Polisi Kwa Baadhi Ya Mikoa

    Hata Rpc wa dodoma kapigwa Chini?mbon sabasi wa Arusha haondolewiii?msangi wa MBEya?au wamemuduuu nafasii zao???Tafakari
  3. K

    JamiiForums Tanzania RPC Liberatus Sabas na Kashfa ya Leopard Tours

    Viongozi wapiga deal mwisho wao ndio umefika, TISS wachunguze haya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa IGP, Gerald Ryoba, mkewe, watoto wawili na wengine wawili wafariki kwa kusombwa na maji

    Adc wa IGP Ni kweliii amefarikiii,na mwili wake umepataikana,watoto wadogo wawili,mkewe,dereva wa police pamoja na house girl wote wamefariki.Tuwaombeee wapumzike kwa Amani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Kova apumzike,na wa mchunguze,inasemekana tajiri saaaaaana ana magorofa arushA,dar pia hectares kibao za mpunga na mashine za kisasa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

    Wapo wakina Msangi,Shilogile,Misime.Bado kuna uitaji mkubwa wa IGP Mangu kwa taifa Letuuu LA Tanzania.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Source ya habari??
Back
Top Bottom