Recent content by kimpupu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Swali je inapoteza majira? Saa na tarehe namaanisha kama ndio jibu weka CMOS battery iliyopo imekwisha na tatizo litakwisha imediate.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Mkuu mie nina Lenovo ideapad z580 imevunjika maeneo hayo hinge moja imevunjika pia upande wa cover la juu na chini panaposhika hinge pameharibika mno natafuta housing au namna ya kuweza kurepair hiyo issue naomba kama sio wewe basi recommend fundi unaemwaminia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Hakuna tabu mkuu we mlete tu nitakupoza ya maji, kwakuongezea Location ilipo ni Chamanzi, Dar es salaam.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Nauza vifaa vya salon ya kiume vifuatavyo: Vioo vyenye frame ya Aluminium vikubwa vitatu 1.29M X1.9M Mlango wa Aluminium upana wa 1.83M na urefu wa 2.15M Sofa dogo la watu wawili, TV ya chogo Sub woofer ndogo Kikabati kidogo Kiti cha kunyolea Mashine Mbili za kunyolea Fan kubwa ya Juu Vyote kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza used UPS na printers kwa bei nafuu

    Sina hakika na bei ya toner mkuu ila kama upo Dar siku ukipita kariakoo mitaa ya vifaa vya stationery zinapatikana waweza kuulizia bei
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Ndugu PatriceLumumba juzi waligawa miche nimepata miche ya kutosha shamba langu la ekari 5 miche 150 hii inayogawiwa huko lindi, swali ni je niipande hiyo hiyo au nitafute hii ya kubebeshwa? Mawazo yangu yananiambia kama nipande miche hiyo hiyo halafu niandae kitalu changu nibebeshe mwenyewe...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nauza used UPS na printers kwa bei nafuu

    Wazee Mzigo Bado Upo wa kutosha karibuni sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Asante mkuu, nina swali la ziada kutoka kwenye hizo video nimezifuatilia kwa umakini sana na nimeelewa kifanyikacho physically ila chemically kuna vitu huenda sijaelewa vizuri au sababu zake au mibadala yake, ni kuhusu hiyo plastic film anayozungushia nimeangalia video nyingi sana wengine...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Printer Brother HL-4150 CDN Inauzwa

    Picha zipo tayari mkuu Ulikuwa issue ya network tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Printer Brother HL-4150 CDN Inauzwa

    Sifa za printer ni kama ifuatavyo, 1.inaprint color 2.inasuport network wireless na wired 3.inasupport USB flash 4.inauwezo wa kuprint pande zote mbili(inageuza karatasi) 5.Mpaka sasa imeprint nakala 16,641 Printer ipo Dar es salaam na Mikoani inatumwa kwa gharama za mnunuzi au namna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Mkuu lumumba Shukrani sana kwa somo lako nimelielewa vizuri, Naihitaji hiyo video ya jinsi ya kubebesha miche nitaipataje mkuu? Je, unaweza kunitumia PM, kama kwenye jukwaa hili inashindikana?
  12. K

    JamiiForums Tanzania HP Laserjet P4014nw

    Condition: Used Copy printed: 19, 500 equal to 2 toners Uwezo wa kuprint kwa toner moja: 10,000+ Consumable: One Black toner pre installed. Interface: USB, Wired network, other specs follow this link: HP LaserJet P4014 Specs Price 350,000 Location: Kijichi, Dar es salaam Contact: 0713 260...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza used UPS na printers kwa bei nafuu

    Niseme sina Utaalamu sana wa matengenezo ya printer ila hiyo ni Imaging drum ya toner catridge inakuwa haijasafishwa vizuri na kwa vile umesema imekaa muda mrefu inawezekana toner imeharibika hiyo au powder imegandiana so lazima ichafue karatasi tu. Yote kwa yote tungoje anaweza kuwemo mtaalamu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza used UPS na printers kwa bei nafuu

    Wadau, ninazo UPS na Printers naziuza kwa bei nafuu UPS ni APC 650 VA na Printers sifa zake ni kama ifuatavyo 1.HP P3015 hii ni Laserjet printer black and white, ina uwezo wa kuprint more than 6,000 copies , network printer 2. HP P4014n hii ni network printer, Black and white ina uwezo wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Mie naomba kufahamu gharama za kodi zimekaaje kwa biashara ya saloon, vipi pia kuhusu leseni ya biashara na gharama zake?
Back
Top Bottom