Recent content by kimorali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli toka sasa ukabadilishane uzoefu na viongozi wenzio

    subiri asafishe nyumba kwanza mpaka atakaporidhika. Hizo za kukutana na viongozi wengine watafanya wasaidizi wake kwa kibali maalum kutoka ikulu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    MM umeshachelewa, hebu turudi nyuma kidogo tujikumbushe. Slaa angegombea Chadema, Prof. Lipumba angegombea Cuf, unataka kutuaminisha tungeshuhudia haya tunayoyaona sasa? Hakika nchi ingekuwa na wapinzani wa kudumu ambao kamwe wasingeweza kuleta mabadilko yoyote. Bora hali iliyopo sasa.:redfaces:
  3. K

    JamiiForums Tanzania Pope Francis: God has instructed me to revise 10 commandments

    Uzushi mtupu. Pathetic:sick:.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anategemea kusafari kwenda New York

    Safari hii itakula kwa makamu wa raisi kwani siku ya kutangazwa goli la mkono hatakuwepo. ICC nyeupeee kwa makamu wa rais kwani ndiye atabakiwa na majukumu yote.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Nchi ambayo kila mtu ni mtetezi wa wanyonge ili kushibisha tumbo lake.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mipango ya UKAWA imekuwa mizito sana, Dr Slaa rasmi kesho Jangwani

    Anangojea kuteuliwa kuwa balozi mojawapo ya nchi za nje ccm wakishinda.' Mark my words'.:redface:
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli selema

    mbona hajazungumzia kero ya mtandao wa madawa ya kulevya?:glasses-nerdy:
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa embu kuwa mkweli, Ina maana umesahau kiapo chako

    kiapo chake kilikuwa cha kulinda maslahi ya wengi kwa uadilifu mkubwa. Mfumo ulioingia baada ya mwalimu Nyerere kuondoka madarakani kwa kuanzishwa kwa azimio la Zanzibar ndio unaowafunga viongozi wote wa CCM kutokutekeleza viapo vyao.
Back
Top Bottom