Biashara inafunguliwa sehemu ambayo kuna soko mfno soko ameona lipo Chanika labda hakuna hospital kama anaishi posta hawez funga safari akatibiwe Chanika lazma atafute ya nearby aende na kama shida ikimpata yupp hospital kwake sidhan kama ataweza kukataa kupata huduma wakat hospital imefunguliwa...
Hili jambo limeenda kibiashara zaid amefungua huko kuingiza kipato kwasabbu ameona fursa ya kuekeza kuhusu wao kwenda ni uchaguzi wa mtu tu wanaenda sehemu ambayo ina hadhi kwao na huko kuna hadhi kwa kipato cha wengne
Kwenye hili la kua hawaingii hospital zao za uswazi inaweza kua sabbu ni kua wana afford kutibiwa huko main branch ama wana bima ambazo zinaruhusu kutibiwa huko so hata ingekua wewe utaenda sehem ambayo ni main kama una afford na ndio mana unakwenda huko
Muhimbili ni hospital ya rufaa kuna...
Astaghfirullah nitake radhi mimi ni muislam mama na baba mzaliwa wa Pemba kabisa na kulelewa na kusoma huko aliyoyasema ame generalize watu waislam wote kitu ambacho anakutana na wachache tu alitakiwa kutumia wengi au baadhi lkn sio wote mkuu
kwasababu kila mtu ana tabia yake ambayo anaishi...
Kwa hospital za private ni Global, Tawakkal, Alrahma ndio wengi sana wanatumia lkn kwa garama ni nafuu Alrahma kulko Global na Tawakkal lakini yeye kwa bima yake hawez kutumia kote huko mpaka kwa
Rufaa ndio wanampokea na hata hivyo bado Zanzbar haina hospital yenye garama kubwa kabisaaaa...
Sikumuuliza kwanini amechkua kwasababu ni buku sio big deal na hata ingekua dawa ya garama basi ningemuacha tu kwasababu sitoi mia yangu hapo aliagiza canula tatu na akatumia moja na sikumwambia anirudshie nilimuulza tu zote za kwake akacheka akatumia moja kwasabbu kila mtu anajua kua ni wizi
Inategemea na aina ya dawa na matibabu wanayotoa dawa zinatofautiana pia na aina ya huduma narudia tena mimi ni muafrika sina NHIF na sijawahi kutibiwa agakhan lkn watoto wa dada yangu nawaplka agakhan kutibiwa wana bima za TCRA na wanatibiwa na mimi ndio nawapeleka na hatujawahi kufanyiwa...
Na wana mfumo wa paperless ukienda hospital mpk unarudi hakuna kartac yyte unayoona form ya doctor dawa wala vipimo yani unapewa tu file number ww unazunguka na kikartac kwahio wizi wa bima za afya umeongezeka
Juzi tu niliplka mtoto hospital moja private kubwa tu Zanzibar jina kapuni alikua na asthma attack canula nimeletewa tatu ikatumika moja mbili zikabak kwa doctor nauliza hizi zote za kwake jibu sikulipata[emoji18]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.