Recent content by kimkakati

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Vanessa Mdee

    Mnamkamata ndiyo mnafanya uchunguzi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viwavi Jeshi (Armyworms caterpillars) wa aina ya ajabu washambulia mashamba ya Mahindi

    Unaendelea na utafiti wa dawa yenye uwezo wa kuua hawa wadudu? Wewe si mwandishi wa habari? Ulichoandika hakionyeshi wewe ni mtafiti na kutudanganya unaendelea na utafiti wacha. Tuombe wizara ya kilimo itutolee tasrifa ya aina mpya ya viwavi wanaosemekana kuingia nchini kuanzia nyanda za juu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Pombe haijakatazwa bali viroba na hivyo pombe hizo hizo kwenye chupa zinaendelea. Mnaosema zilizokamatwa ni nyingi zingeua watu ni vilaza
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Jamani jamani mnasema serikaki ilitoa muda wa kutosha mna uzoefu na biashara? Mtu ana shehena ya bilioni moja inauzika kwa muda gani. Haya sasa haikuuxika yote bado iko godown. Wataalam wa nchi hii viherehere wanakuta hii shehena wanaanza kutsfuta sifa eeee tumegundua.... Tumekamats.....hivi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Angepata changamoto za maisha namna hiyo hangedhalilisha watu katika utawala wake kiasi hicho kama alivyofanya kwenye mikutano yake na wananchi wa dsm. Mpendazoe unatafuta ukubalike ccm lakini gia hii achana nayo pamoja na njaa uliyonayo. Bora ukafagie ofisi lumumba kimyakimya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hii ni awamu ya kuandika historia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Sasa hivi watanzania tunaugua ugpnjwa unaoitwa diploma disease ya kufikiria kwamba utendaji wa mtu unahusiana na cheti cha darasani sasa tunajikuta tunadai huyu proffesor si lolote si chochote kumbe ni proffesor wa physics au chemistry na alitakiwa afunfishe watoto wetu chuo kikuu lakini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Nafikiri utendaji wa viongozi ukiwa na kiwango tarajiwa cha wananchi katika wadhifa fulani hakuna atakayeuliza kiwango cha elimu wala cheti.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GEITA: Serikali yatenga zaidi ya Sh. Bilioni 6 za kuchimba visima Chato!

    Wewe unajitia kumsahihisha mwenzako unaandika chality ndo nini?
  10. K

    JamiiForums Tanzania AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

    Ile club ya watanzania zimbabwe inaendeleaje? Kama ungeenda pale ungekutana na watanzania wengi ungekula nyama choma na hayo uliyoona wangeweza kukufafanulia. Napapenda club ya watanzania zimbabwe. You will really feel at home. Huko ubalozi kuna wenyewe nako
  11. K

    JamiiForums Tanzania DAWASCO: Majitaka tunaibiwa

    Nawashauri DAWASCO wahakikishe ujazo wa haya magari ya majitaka na wahakikishe yameandikwa kwani huwa wanawadanganya wateja. Yalipie yakaguliwe na kuandikwa ujazo kama malori ya mchanga yanavyofanya. Tumechoka kuibiwa na tunaomba iwepo bei elekezi kwa ujazo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

    Wachagga hoyee. Tupige kazi tuwaache wakipayuka kwenye majukwaa wakimaliza watatukuta tunawatazama kutoka juu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kunywa maji lita 6 kwa siku?

    Figo hufanya kazi ya kuondoa maji ya ziada mwilini na kunywa maji mengi kupita kiasi ni ku- overwork figo. Kunywa maji kukata kiu. Jarida moja la sayansi ls marekani nolilospma lilionya juu ya maneno ya mitaani ya kunywa maji mengi kupita kiasi. Fuata ushauri wa daktari!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maana ya mto ngono na eneo la katerelo hayana uhusiano na tabia ya uasherati

    Wahusika walielewa ndiyo maana walikuwa wanashangilia. Wapambe mnaochambua ambao haiwahusu ni uchochezi
  15. K

    JamiiForums Tanzania MAGU, MWANZA: Wananchi walalamika njaa, Rais Magufuli awajibu "Mnataka nije niwapikie?"

    Huu siyo mwanzo wa kutengeneza ukabila nchini kweli? Ni vizuri kuongea kilugha na wsnanchi ila sioni umuhimu ws kutangazia taifa zima ndo maana wengine wanauliza alisema nini. Nusu ya hotuba kwa kisukuma? Inatuhusu nini tusiyo wasukuma?
Back
Top Bottom