Recent content by kimilanzoka

  1. K

    Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Hivi leo wafanyabiashara wote wakiamka asubuhi na kukataa kulipa kodi ikiwa ni mgomo kufuatia kashfa hii nani atatakiwa kulaumiwa? Jersey serikali itawashtaki?
  2. K

    Fedha za Escrow Hali Tete kwa Nchi !

    Yaaani nimekupa maneno na matusi yote unayoyajua nimeogopa kuondoka kwa kuogopa ban
  3. K

    Ufisadi wa bilion 450: Dili ya Treni mpya Airport kwenda Mjini

    Kilichoandikwa kina mantiki kabisaaaa kwani Mwakyembe aliulizwa swali bungeni kuwa kwa nini alisaini mkataba wa siri yeye akajitetea kuwa alisaini Memorandum of understanding ili kumwezesha muwekezaji huyo aka tafuta fedha na kwa jinsi nilivyosoma hapo juu kuna kila dalili ya harufu ya rushwa na...
  4. K

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Hiyo ni escrow x3 to come watanzania tuamke,wenzetu kenya wako sensitive sana na kupandishwa kwa gharama kama hizi
  5. K

    Sethi: Tegeta Escrow namwachia Mungu

    Amini nawaambia Rished Bade,kamishna wa TRA atazaa nae make huyo jamaa yuko serious na kazi yake na hamwogopi mtu kwa kifupi ni mtu mwenye international exposure na amekulia katika private companies which means si mshabiki wala hajui siasa mtakuja niambia labda rais amtoe
  6. K

    Acheni chuki binafsi. kila kijiji sasa nguzo za umeme zinawekwa

    Acha ujuha wewe,angalia kwenye karatasi yako ya luku ndo uongee,kila unaponunua umeme unakatwa 3% ya REA,hata hivyo kufikisha umeme ni wajibu wa mtoa huduma kwani sio kwamba umeme ni bure umeme kwa sasa Tanzania ni ghali sana kama hununui basi muulize baba yako
  7. K

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Duh,kweli mafisadi wanaichezea nchi hii,where on earth nchi nzima umeme unazimwa for no reason,na hao viongozi still wanaendelea kufanya kazi! Lol.... kwa aliyewahi kuona movie ya 24 ataamini ninachokisema
  8. K

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hiyo ni sawa na kujifunika mikono watu wasikuone
  9. K

    Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Temeke pia wamekata hii ni makusudi,halafu mijitu inasimama kutetea
  10. K

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kuna uwezekano nchi nzima hakuna umeme hii ni aibu
  11. K

    Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Big up Mwigulu
  12. K

    Watambue kwa picha zao vigogo waliotafuna mabilion ya escrow

    Yaani unamaanisha mgao ni 40.4m na hao wenye nyingi wamewachukulia wenzao sio?
  13. K

    Mwigulu, Mnyika, Zitto, Mdee na Silinde waweza leta sura mpya sakata la Escrow leo Bungeni

    Waliopata mgao hawana alama so no comments kwani kuna kila dalili mmejaa humu
  14. K

    Wajibika ili watuhumiwa wa Escrow wawajibike

    Kaka hela imetembea usicheze
Back
Top Bottom