Recent content by kimevi

  1. K

    Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

    kwa kweli ugonjwa wa akili unaiteza Dunia inasikitisha kuona wavivu wajinga wanadanganywa na wagonjwa wa akili
  2. K

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    hata ufugaji wa mbuzi na kondoo Bado ni fursa na mtaji wake ni himilivu Kwa watumishi
  3. K

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    umetukosea sana wanaume la muhimu usijute hata kidogo mwanaume unatakiwa kuwa mpambanaji kwenye hii Tanzania yetu fursa kibao ila ni vile wanaume wengi hatutaki kujituma na kupambana hivi Kila mwanaume akijutia kama wewe Dunia si itawaka moto
Back
Top Bottom