Recent content by Kimetah

  1. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari. Naomba kufahamishwa tiba sahihi ya vidonda vya tumbo. Nimepima hospital nimeambiwa vimesababishwa na bacteria. Nimetumia dawa aina ya omiprason lakin sioni mafanikio.
  2. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

    Sikiza wew kima,haiwezekani kupeleka maendeleo ya ziada sehem ambayo kiongozi wake hajawai kuona jitihada za serikali iliyopo madarakani. Hizo km5 za lami aliahidi endapo mbunge wa ccm atachaguliwa. Kwa hiyo huyo mbowe ni jambaz la siasa na JPM atamnyoosha kwny uchaguzi huu wa 2020,harudi bungen...
  3. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Kabisa. Hoja zimefukiwa na JPM,wanatembea na vihoja
  4. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni 1. Lissu 2. Msigwa 3. Nyalandu. Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel...
  5. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Hao wamezoea kutokugombea mpaka mwenyekiti astaafu.
  6. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Ndio shida ya wahuni. wao huishia kulalamika tu na kukosoa watu kila mara ila sio watendaj
  7. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Kwa hapa wanachama wa Chadema lazima waponde maana wanajua mjeshi anaenda kuomba kupitia CCM
  8. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Kwa lipi haswa?
  9. Kimetah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Hongera kwake
  10. Kimetah

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL nawapongeza kuendelea kutoa huduma zenye garama nafuu. TATIZO. MAENEO YA BOMANG"OME WILAYA YA HAI HASA UKANDA WA CHINI MTANDAO UNASUMBUA SANA.KUMBUKENI TRENI INAANZA KWENDA MPK ARUSHA NA KUNA STATION KUBWA ZAIDI YA MBILI. BORESHENI MTANDAO WENU ILI WATU WASIJUTE KUNUNUA LINE ZENU. Taarifa...
  11. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya usikubali kutegeka

    Utaelewa hiyo siku
  12. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya usikubali kutegeka

    Swala la muda tu
  13. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya usikubali kutegeka

    Nimekumbuka Wimbo mmoja wa zamani kwenye kiitikio una maneno "Hilooo umejidai mbabe sana, leo umepigwa na kijana mdogo, aibu imekupata" Pia, simulizi Moja ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere akiwaasa Watanzania wasisikilize kelele za watu bali waangalie lengo lao, alitoa mfano wa...
  14. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya Ya Hai Ndugu Kumotola afanya Ziara Hai

    Kazi Inaendelea Hai,ILANI YA CCM INATEKELEZWA. Ziara Ya Kustukiza iliyofanywa na Katibu wa CCM wilaya Ya Hai Ndugu Kumotola,akikagua utekelezaji wa ilani ya ccm Katika Kata Ya Bondeni,imekuwa ya mafanikio makubwa baada ya kutangaza neema ya ujio wa nishati ya umeme. Akizungumza katika shule ya...
  15. Kimetah

    JamiiForums Tanzania Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

    Naandika Nafuta,naandika nafuta. Ngoja nimwachie Mungu
Back
Top Bottom