Mimi Kama Mimi naishangaa sana serikali ya Tanzania kwa mbinu zao chafu. Swali la kujiuliza na naendelea kutafakari lakini sipati jibu haswa kwa viongozi magoi goi tulionao. Nashanga kwanini wanatumia muda wao mwingi kutumia peas na maarifa ya kipuuzi yasio kuwa na msingi wowote. Kila Waikato...
Swali Lako ni sawa nakumuliza mwanaume kuwa niko single sijaoa na sina mwananke katika Maisha yangu, wote niliokutana nao ni malaya hivvyo naomba mnichagulie mke.
Jamani naombeni kuliza swali moja, hivi ccm a.k.a ( Chama Cha Majambazi) kama wangekuwa wanatumia nguvu nyingi kuleta maendeleo na kutetea wanyonge Kama wavyotumia nguvu nyingi na hela za walipa kodi kuangamiza chadema na viongozi wake je nchi yetu ingengukuwa wapi Leo hii? Nadhani hawa viongozi...
Serikali ndo inaendekeza huo uozo. Kama mwanaume anakula mmbwa na Mimi unataka Nile pia....? Kama nakula paka niache nile paka na wewe Kama unakula mmbwa endelea kula mbwa tusilazimishe upande mmoja ufuate upande mwingine. Pili sioni sababu yakulazimia uchinjaji. Wakristo ni wengi kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.