Na Magufuli nae atakua na kesi maana anachokifanya ni kampeni but alichokifanya lowassa kilikua ni kwenye ngaz ya chama na aliadhibiwa na kilichokua chama chake.Mada yako irudishe fb
Kwan lowassa alikua cdm akahama na kurudi cdm ndio mseme cdm inakula matapishi yake? Kwa cdm ni mwanachama mpya izo mambo za matapishi sijui zinatoka wapi,ccm ndio mnachanganyikiwa akili.
Tuliipenda ccm ila mungu ameipenda zaidi,hili ni jambo jema chama kupendwa na mungu kwahiyo wanaccm wenzangu tusilie chama chetu mungu amekipenda zaidi mwaka huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.