Recent content by Kimbry donee

  1. Kimbry donee

    The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

    𝗟𝗲𝗮𝗿𝗻 𝗳𝘂𝗻𝗱𝗮𝗺𝗲𝗻𝘁𝗮𝗹𝘀, 𝗻𝗼𝘁 𝗳𝗿𝗮𝗺𝗲𝘄𝗼𝗿𝗸𝘀 Have you ever wondered why some technologies are still with us, and some disappeared? Here is 𝘁𝗵𝗲 𝗟𝗶𝗻𝗱𝘆 𝗘𝗳𝗳𝗲𝗰𝘁 to explain it. This effect tells me that 𝗯𝘆 𝘁𝗵𝗲 𝘁𝗶𝗺𝗲 𝗜 𝗿𝗲𝘁𝗶𝗿𝗲, 𝗱𝗲𝘃𝗲𝗹𝗼𝗽𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗶𝗹𝗹 𝘀𝘁𝗶𝗹𝗹 𝗯𝗲 𝘂𝘀𝗶𝗻𝗴 𝗖# 𝗮𝗻𝗱 𝗦𝗤𝗟. It is a concept in technology and...
  2. Kimbry donee

    Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

    Function parameter ni thamani(input value) ambazo function inapokea . Zinatuwezesha kupitisha thamani kwenye function kwa ajili ya kuzitumia ndani ya function na kufanya vitendo(ooerations) ndani. Kwebye Javascript, function parameters zinaazimiwa(declared) ndani ya mabano baada ya jiba la...
  3. Kimbry donee

    Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi - unaielewaje kauli hii?

    Hiyo kauli katoa kwa Dizasta Vina - Tribulation. sikiliza hii utajua.
  4. Kimbry donee

    Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi - unaielewaje kauli hii?

    Sikiliza hapa ndo utajua uhalisia wa kauli 👇👇👇👇
  5. Kimbry donee

    Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi - unaielewaje kauli hii?

    Wambie wasikilize nyimbo za fasihi andishi inayosimuliwa. Dizasta Vina
  6. Kimbry donee

    Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi - unaielewaje kauli hii?

    Hiyo kauli ime Hiyo kauli imetoka kwenye mistari ya wimbo wa Dizasta Vina - Tribulation. Huo wimbo ambao amejibu dis ya wimbo wa Rapcha - Nyu clear
  7. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    Poa, sema Net strength ikikaa vzr naomba unitumie. plz Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    picha kwa sasa sina Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    inavyo hyo vpande vya sheria unitymie. plz lkn Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    Tuliacha kabisa sema wezangu walishajenga mimi ndo nilishakusanya tofali so, jamaa wameanza kuweka transfoma kabisa.
  11. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    Tuliacha kabisa sema wezangu walishajenga mimi ndo nilishakusanya tofali so, jamaa wameanza kuweka transfoma kabisa
  12. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    Kwahiyo nieende kwa wakili direct nisianzie local government?
  13. Kimbry donee

    TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

    Ndugu zangu nisaidieni TANESCO wameweka nguzo ya umeme tena ni ya TRANSFOMA kwenye katikati ya kiwanja cha nyumba . hivi kuna sheria yeyote itakayonisaidia? Naombeni msaada jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom