Recent content by Kimboka kichimba

  1. K

    Tetesi: Hemed Ally, mamluki aliyepenya kamati kuu. Ni vema kama vijana wa CHADEMA tukajifunza katika historia na tukafanya chaguo lisilo na shaka kabisa.

    HEMED ALLY, MAMLUKI ALIYEPENYA KAMATI KUU. Ni vema kama vijana wa chadema tukajifunza katika historia na tukafanya chaguo lisilo na shaka kabisa. Hemed Ally ni mtu wa karibu zaidi na mzee Lowasa tokea akiwa rais wa IFM. Amefadhiliwa na Lowasa na system katika kila namna. Katika hatua yake ya...
  2. K

    Uchaguzi 2020 Ni mtoto tu atakayeweza kuelewa haya yanayoropokwa na wakina Sumaye na genge lake. Msisahau kumchagua Tito Kitarika na Mhere Mwita kwa BAVICHA imara

    Ni Mbowe huyuhuyu anayenyanyaswa na DC wa Hai? Ni Mbowe huyuhuyu aliyewekwa ndani zaidi ya miezi 3 bila dhamana? Ni Mbowe huyuhuyu aliyevunjiwa Bilcanas na kuharibiwa Mashamba? Ni Mbowe huyuhuyu anayeshtakiwa kwa mauaji ya Akwilina? Ni Mbowe huyuhuyu ambaye ameua na kutisha Wapinzani wake na...
  3. K

    Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wengi ni wamiaka ya 1985____so hao wa nyuma wengi ni damu ya kijani ni vigumu kutambua Tupi ni yupi hiyo ndio inatufanya kuwaacha ambao wamekwisha jipambanua.
  4. K

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unahitaji umakini mkubwa na hili litaacha makovu yanayohitaji uvumilivu mkubwa kwa ustawi wa chama

    Acha kutulazimisha kumpumzisha mchezaji ambaye hajachoka ili tumjaribu wa bench, chadema haipo ktk hali mbaya ila siasa ya tz ipo ktk hali mbaya cyo kwajili ya ccm imara ila kwajili ya ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola kama polisi.
  5. K

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unahitaji umakini mkubwa na hili litaacha makovu yanayohitaji uvumilivu mkubwa kwa ustawi wa chama

    Hatubadilishi mchezaji anayepaform uwanjani kumjaribu wa bench bila sababu labda aumie, mbona hawa watu chadema wanawagusa kuliko Mrema na Lipumba pia Cheyo nilioanza kuwasikia tangu nakua? au hao ndio mnawamudu kwajili ya njaa zao?
  6. K

    Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Kuhusu usultani wa viongozi, hii inatokana na malengo ya kiongozi, hali ya siasa na msimamo wa kiongozi kwa serikali ya ccm, kiongozi akiwa laini ccm watamuunga mkono hata kwa nguvu ya polisi kama lipumba, na hapa wanachama wanyemsimamo ukihama chama, kwa upande was kiongozi asiyeiunga mkono...
  7. K

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unahitaji umakini mkubwa na hili litaacha makovu yanayohitaji uvumilivu mkubwa kwa ustawi wa chama

    Namkumbusha inawezekana kumwamisha mmbwa kutoka kigoma kumpeleka tanga ila ni vigumu kumpeleka msambaa kigoma ukamwambia wewe kwanzia leo ni Muha
  8. K

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unahitaji umakini mkubwa na hili litaacha makovu yanayohitaji uvumilivu mkubwa kwa ustawi wa chama

    Hapa ndio umezungumza siyo kutulazimishia mawazo yenu ccm, huyo mwamba amebanwa kila kona na bado yupo imara
  9. K

    Usalama wa Taifa (TISS) kaeni kando na CCM, mnachafuka

    Inasikitisha sana pale vyombo vya kitaifa tena vizito vinapochagua kuwa kikundi ndani ya chama cha siasa
Back
Top Bottom