Tetesi: Hemed Ally, mamluki aliyepenya kamati kuu. Ni vema kama vijana wa CHADEMA tukajifunza katika historia na tukafanya chaguo lisilo na shaka kabisa.

Joined
Nov 27, 2019
Messages
27
Points
95
Joined Nov 27, 2019
27 95
HEMED ALLY, MAMLUKI ALIYEPENYA KAMATI KUU.

Ni vema kama vijana wa chadema tukajifunza katika historia na tukafanya chaguo lisilo na shaka kabisa.

Hemed Ally ni mtu wa karibu zaidi na mzee Lowasa tokea akiwa rais wa IFM. Amefadhiliwa na Lowasa na system katika kila namna.

Katika hatua yake ya kuwania ukatibu wa vijana wa chadema taifa. Amepita mikoa yote kuhonga wapigakura wa kamati za uratibu za bavicha mikoa ili kusaidia kupata kura za wenyeviti wa bavicha mikoa ambao ni wajumbe wa kamati tendaji ya Bavicha Taifa na wapigakura wa nafasi ya ukatibu.

Mazingira haya yanapelekea kuwa na shaka sana juu uaminifu wake kwa chama hasa ikizingatiwa kwamba waliokuwa ccm wengi wanasubiri kurudi huko baada ya kuvuna nafasi za juu za chama na mabaraza ngazi ya taifa.
 

Forum statistics

Threads 1,379,337
Members 525,390
Posts 33,743,604
Top