Recent content by Kimbita

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapoichezea CCM "off side trick"

    safi sana CHADEMA. Pigeni kazi hakna kurudi nyuma nakubaliana nanyi na awaombea munguawape nguvu. swaga lachochezi linakwisha sasa sijui wataibuka na lipi? heko wapiganaji
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM hakukaliki; Makundi hasimu yazidi kukipasua chama

    UVCCM msifanye na msijejaribu kufanya mnachotaka kukifanya. hakuna zaid ya Riz1 tena ikibidi tumpe uenyekiti ili na yeye atuongoze kama baba yake. Mbona sioni shida yake? Mkome msifanye ujinga mnaotaka kuufanya.
  3. K

    JamiiForums Tanzania hello wana JF

    nafikiri ni wakati muafaka wa kuungana na wanajamii baada ya safari ndefu na ngumu ya uchhaguzi ulopita. nasisitiza ccm ni mshindi hata kama tulichakachua hao waliochakachuliwa walikuwa wapi?
Back
Top Bottom