Recent content by kimbisimbisi

  1. K

    Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Mawakala wa mashwetani utawajua tuu. Kutokuja kwao kwenye ufunguzi kumeathili nini sasa??. Wanaona aibu maana njama zao tushazing'amua mapema. Hata huyo kuwadi wao walidhani atakamatwa wakati wanamsindikiza, serikali haina tyme na kichaa. TUNA CHAPA KAZI TUU. VIVA T2020 JPM, KAZI INAENDELEA
  2. K

    Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Hivi, mzungu ndiyo nani. Sawa hawakuonekana wapo wamamtongoza TRUMP achie kiti maana 20 January 2021 nikaribu asije aibisha duniani. So after all kwetu uchaguzi umekwisha tunafikiri namna ya kupata wawekezaji wa HELIUM, our dream to be a DONA KANTRI sasa inakaribia kutimia.
  3. K

    Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA
  4. K

    GE2020 Selemani Bungala (Bwege) asema Magufuli hakushinda kihalali. Atolea mfano wa aliyoshuhudia katika vituo viwili jimboni kwake

    Imekwisha hiyo, jipange upya. Utakalia kulia lia nyuma ya keyboard haitakusaidia, anza kuchapa kazi we muntu ya babati. Anza kulima maharage upeleke kuuza viwandani, maana ile ndoto ya tanzania ya viwanda inatimia chini ya jemedali wetu TZ 2020 JPM Kwa taarifa yako mwaka huu gase ya HELIUM ya...
  5. K

    GE2020 Selemani Bungala (Bwege) asema Magufuli hakushinda kihalali. Atolea mfano wa aliyoshuhudia katika vituo viwili jimboni kwake

    Uchaguzi ulishakwisha kwa sasa tupo bungeni. Mengine ni porojo akitaka na yeye akaombe ukimbizi MSUMBIJI.
  6. K

    GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Maendeleo hayawezi kuja pasipokuwa na miundombinu mizuri ya kurahisisha kazi za kila siku za kibinadamu. Ili binadamu aweze kuendelea anatakiwa kutengenezewa nyenzo rahisi za kuweza kumfikisha mahali anapostahili kwa mfano, barabara, shule, hospital n.k. Hivyo maendeleo ni 1. VITU...
  7. K

    GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Akapanda na mabasi ya mwendo kasi, akapita ubungo interchange, tazara flyover, kigamboni, huko kote alikuwa akisonononeka kwa alivyokuwa akimtukana na kumkashifu huku akitoa machozi ya furahaa na kusema moyoni dah ama kweli huyu JPM ni jiwe lilokataliwa na waashi, lakini ndiyo limekuwa jiwe...
  8. K

    Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Ndiyo, sasa kwa wale waliopata dharula wasipige kura? waweke utaratibu na sisi ambao tumehama tupige kura japo ya rais tu, diwani na mbunge tuwaachie wenyeji
  9. K

    Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
Back
Top Bottom