Ulaya imejaa wahamiaji haramu kwa sasa kila muafrika/muAsia anakimbilia huko na kuwajaza ndugu zake, oyaa weeh kwa sasa machimbo yamebadirika tuende na muda jamani... Tusikalili maisha mbona hatufuatilii habari
Unampa kazi kijana kwenye hardware yako na yeye anaunda hardware yake vichochoroni huko, huku duka lako analigeuza stoo yake ya kujichotea bidhaa za bure kwenda kwake.
Ngumu sana vijana kuaminika ktk biashara, tamaa+haraka ya maisha inaendelea kuangamiza ndoto za vijana wapumbavu.
2026...
MIMI PIA DALALI wa mahusiano na mapenzi ya aina zote.. unatafuta mshangazi, mubaba, Boyfriend/Girlfriend wa show time unapata, ZAMA PM kwa huduma Nchi nzima nina wakala ushindwe wewe tu.
Hii ni fursa ya mitandao tunaitumia kuwaunganisha watu na kuokoa muda unapotezwa kusumbuana na mahusiano...
Nje ya mada
Mamoderators achieni UZI wangu niliouandika hauna uvunjifu wa Sheria zozote hapa JF na ulikuwa mahususi lwa watu aina ya mtoa MADA na wengine aina yake .
SALAMU ZENU??
Hii thread ni ndefu ila we isome tu uimalize kwa manufaa yako
📢📢.HAYA kwa zaidi ya miaka 17 niliyokuwepo Jamii forum nimejifunza mambo mengi sana, nimekutana na mawazo ya kila aina, watu wenye mitazamo na maoni ya kila aina, fursa za kila aina na ndipo nikagundua kumbe watu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.