Recent content by Kimbache

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wasafirishaji Mizigo:Ujerumani kwenda Tanzania

    Habari Zenu Wadau: Naomba kufahamu anayejua yeyote anayehusika na usafirishaji Mizigo kwa Ndege na au Meli kutoka Germany kwenda Tanzania. Asante.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Watu 5, na ni route ndefu nya kufika mpaka Serengeti. Ingekuwa safari ya kawadia sawa ndege ingelipa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    NAWASHUKURU WOTE, TUISHIE HAPA.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    sorry i meant 3000cc sio 4500cc
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Sorry i mean sorry i meant 3000cc sio 4500cc
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Hi, Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD. NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fuso ya Tani 4/4.5 linahitajika

    Wapendwa wanaJF, Nina Biashara ya Kufyatua Tofali hapa Goba Tegeta-A along Njia Nne/Madale Road. Niahitaji Lorry Fuso tani 4?/4.5 kwaajili ya kubeba mchanga, kwa makubaliano ya hesabu ya siku. Fuso hilo Liwe na sifa zifuatazo: 1. Liwe zima. -Engine haisumbui -Gear box haisumbui -Diff haisumbui...
Back
Top Bottom