Recent content by kimazinka

  1. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Actually he is my broo!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Dr. Dr.Kayandabila siyo msukuma, mbona kwani nyinyi mlivyokuwa mmejazana T Bila kumsahau Dr.Kazungu!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Kigoma moja hiyo!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM wakielekeza kura zao kwa ACT na CUF/LIPUMBA EALA, si jambo la kufurahia.

    Politics is game of maneuver and chances, hakunaga adui wa kudumu! Kama CDM mlivyo na ndoto ya kuendelea kuwa chama kikuu cha ulinzanj, ACT na vyama vingine wanahitaji kupata nafasi hiyo ikiwezekana kushika dola!! Hivyo kama chama cha siasa lazima wafanye political maneuver na watumie kila fursa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    Naona mnaanza kuingia kwenye mtego wa CCM! Lissu is ascending bcoz CCM wants him to, it is for special purpose! Be careful with your steps! Ghalama ya umarufu wa Lissu ni kubwa mno kwa CDM. CCM haipo hadi leo kibahati mbaya, ni kwa sababu ina majitu yenye akili sana nyuma ya pazia!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magiwiji ambao turufu zao zimewang'arisha wkt wa JK na sasa wamezicheza kwa ustadi tena kwa JPM!

    Ha ha ha, yule zama zake zishapita, atathibitiwa tu na yule Iron Lady!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magiwiji ambao turufu zao zimewang'arisha wkt wa JK na sasa wamezicheza kwa ustadi tena kwa JPM!

    Trust me Mawingu kama wangejua mkulu atamkingia kifua, wasingejiripua kiasi kile, hawana guts hizo!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magiwiji ambao turufu zao zimewang'arisha wkt wa JK na sasa wamezicheza kwa ustadi tena kwa JPM!

    Mkuu huyo kwa wkt wa JK alikuwa mfunga viatu tu!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Magiwiji ambao turufu zao zimewang'arisha wkt wa JK na sasa wamezicheza kwa ustadi tena kwa JPM!

    Ha ha ha, lkn hawa naona kama turufu zao zinaenda mruwa kabisa!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Magiwiji ambao turufu zao zimewang'arisha wkt wa JK na sasa wamezicheza kwa ustadi tena kwa JPM!

    Ha ha ha ha, siasa ni maisha, siasa ndo kila kitu, ukiweza kuzicheza vzr bac mambo yako yatakunyokea tu! Hawa ni magwiji ambao wamekuwa mahili sana ktk kuzicheza turufu zao kwenye siasa zetu wkt wa JK na sasa kwa JPM! 1.Mohammed Dewji! Huyu jamaa wkt wa JK ni kati ya watu walioshine sana hasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    Hii Limbwata ifanyiwe utafti, itawafaa sana Dada zetu, any way Nape cjui anachukua uamuzi gani!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Figisu hizi uchaguzi wa TLS na Lissu ni ushahidi CCM hupandikiza vibaraka katika vyama vya kiraia

    Hope mpo kwenye safari yenu ile maarufu ya kuhama sehemu moja kwenda nyingine, ikishakamilika mtaekewa!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Figisu hizi uchaguzi wa TLS na Lissu ni ushahidi CCM hupandikiza vibaraka katika vyama vya kiraia

    Ww utakuwa u amalizia akiba yako ya viroba, sasa unajiuliza maswali na kujijibu, kwani mm nimekwambia mama yako ndo anatoa Nchi, learn to read btn lines we mwana wa Serengeti!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Figisu hizi uchaguzi wa TLS na Lissu ni ushahidi CCM hupandikiza vibaraka katika vyama vya kiraia

    Yaani hawa watu ukiwafikiria huwez pata majibu, Lissu ni mbunge na Mnadhimu mkuu wa CDM eti yeye kugombea Urais TLS siyo kupandikiza watu, ila wengine wanapandikizwa! Kwa akili hizi hamuwezi hata siku moja kupewa Nchi hii muongize!!
Back
Top Bottom