Recent content by kimarabucha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini jitokezeni mkemee yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Madiwani

    Hakika inauma sana Kwa viongozi wetu Wa dini kukaa kimya huku wakiona Haki haitendeki.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Askofu akerwa aina ya upigaji kura wa sasa

    VIPI sheikh Mkuu Wa Dar vurugu za Mbweni Saranga hawajaziona?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Hakika Makamu Wa Rais Mama Yetu SAMIA SULUHU ameonyesha UCHUNGU Wa Mama Kwa mtoto .Nakupongeza sana Mama Yetu Kwa roho ya HURUMA uliyotuonyesha Watanzania Kwa KUMTEMBELEA Kijana wako Mh.Tundu Lissu Mungu akubariki Mama.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Sayansi ya Siasa: Kuanguka vibaya kwa Upinzani ktk Uchaguzi Mdogo wa Madiwani wa Novemba 26, 2017

    KAMA ndio hivyo kwani Polisi Wakuu we wilaya na mikoa wametumia nguvu? Suala la kujenga miundo mbinu ni wajibu Wa Serikali sio hiyali
  5. K

    JamiiForums Tanzania Adam Chagulani: Upinzani wa Tanzania ni dhaifu

    Sio rahisi kama unavyofikiria Kwa kutumia Polisi ndio haufi kabisaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vituko uswahili tupia kituko chako uliwahi kukiona!

    Chadema KURA 2177 CCM KURA 1044 mshindi ni CCM
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bw.Polepole kulazimisha KURA zote zilizopigwa ni za CCM ndio "SAYANSI"?

    Hakika nimeshangazwa sana na Katibu Wa Uenezi Wa CCM Bw.Polepole eti CCM imeshinda Kwa Sayansi wakati kila binadamu anajua kilichofanywa na CCM kuutafuta ushindi hata Kwa vurugu, utekaji kukamatwa wapinzani, uongo Wa viongozi n.k.Nani hajui kuwa baadhi ya mawakala Wa vyama vya upinzani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania MSIGWA: Iringa hatukuwa na Uchaguzi, tulikuwa na vita. Vijana 15 wapo ndani, wengine wamevunjwa miguu

    Mkuu Msigwa , TUME Huru ya uchaguzi inasema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki ahaaa CCM MPYA
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imerudi kwenye Siasa za Chama kimoja kama ilivyokuwa kabla 1992?

    Ungefuta ccm Kiwanda cha mafisadi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ubungo, Dar: Ubomoaji jengo la TANESCO waanza

    Kanisa la Gwajima nalo limeanzwa kubomolewa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nashangaa Gambo anaongea uongo mkubwa, sijaomba kukutana na rais

    Mzee Lowassa wajinga ni wengi sana pale lumumba
  12. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Ni kweli Prof.hasa pale Lumumba wamejaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gambo cheo ni dhamana, Lowassa ni sawa na mzazi wako, kwanini umsemee uongo?

    Nimesikitishwa sana Kwa Mkuu Wa mkoa Wa Arusha Bw.Mrisho GAMBO bila aibu huku akijua ni Uongo akiwahutubia wananchi Wa Arusha kuwa Eti Mh.Edward Lowassa kamtuma amwombee Kwa Mh.Rais ili amwombe kurudi CCM.Mh.Edward Lowassa amekanusha vikali taarifa hiyo ya Mrisho GAMBO.Namwomba Bw.Gambo...
Back
Top Bottom