Recent content by kimangu

  1. K

    UKAWA na kivuli chao

    Wabuyaga umezungumza kitu kizuri sana,ingawa mimi sio ukawa Lakini huwa najiuliza hivi hawa wapinzani wasingekuwepo nchi yetu hii ingekuwaje hii leo?Ki ukweli wamefanya kazi kubwa sana ya kuiamsha serikali yetu.binafsi nitapigia upinzani kwenye ubunge ili wakaongeze nguvu ya kuisimamia serikali...
  2. K

    Ni nani huyu - Mwanamboka?

    Mmiliki wa mwanamboka ni Salum Saad Said Ally. huyu Saad said Ally ni mtoto wa huyu Salum Saad.Khadija mwanamboka na Nassoro ni watoto wa kaka yake Salum Saad Ally Ambae anaitwa Said Saad Ally.
Back
Top Bottom