Recent content by KIMAMASIMA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Ni msingi wa maendeleo mkuu kwa saba2 mfanyakazi atakapolipwa weekly kumbuka hatakuwa na madeni yasiyo ya lazima ambayo anayapata kila mwezi pia kama ni ujasiria mali basi ataweza kufanya na kujipatia kipato.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Mkuu wazo lako ni zuri wito kwa wana jf ni kuwa keen wakati wa kujadili inshu kama hii kwani ni msingi wa maendeleo kama selikari yetu itachukuwa maamuzi magumu!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Mkuu mjadala uko sawa makamanda waendelee kupigania ukombozi wa wtz na taifa kwa ujumla
  4. K

    JamiiForums Tanzania tatizo la kukosa usingizi mama mjamzito....

    Kwanza hongera mkuu naomba nikuulize swali mama hiyo mimba ni ya ngapi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanza ziara Mara

    Wakimaliza mara tunawakaribisha simiyu makamanda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kama gharama za maisha ndiyo hizi, watanzania tutaishi?

    Hapo poa mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usiri wa afya za wanasiasa unakwamisha jitihada za kuutokomeza ukimwi!

    Mkuu hapo umeeleza kweli kwani hamana kiongozi hata mmoja ambaye amewahi kulipotiwa kufariki kwa ugonjwa huo!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    Magamba wamepata wagombea kweli?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kama gharama za maisha ndiyo hizi, watanzania tutaishi?

    hutakiwa kuchoka mkuu kwani mkombozi wa maisha yako ni wewe mwenyewe
Back
Top Bottom