Recent content by Kim konky

  1. K

    JamiiForums Tanzania Niandae pesa kiasi gani niweze kwenda China kuchukua nguo

    asante mkuu nimeelewa vizuri lakini kwa uchunguzi wangu nimegundua kuwa jingereza kinakuwa kingi sana sasa kama mtu haelewi anatumia njia ipi ili aweze kuagiza mzigo mfano huko alibaba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msichana kikojozi

    habari kaka nimeiona hii leo katika harakati za kutafuta dawa ya kukojoa kitandani na mm nahitaji hiyo dawa naomba mawasiliono tafadhali.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    asante, mimi natafuta nyumba maeneo ya bugurunui Malapa, Rozana,sheli au msaada gejeji, yenye upande wenye vyumba 2 na sebule na choo na jiko. bajeti yangu ni laki na 30000.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    wanajamvi, habari hata mimi ninahitaji upande wenye vyumba 2 na sebule choo na jiko kwa bajeti ya 130000.ila napendelea maeneo ya buguruni ni rahisi na kazini kwangu. asante
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza ID Cards naomba msaada

    samahani, ila nimeona google kuna jamaa anadesign ID kwa kutumia id card ms word nimeona ni rahisi sana but nimejaribu kuitafuta niidownload siwezi je unaijua hiyo? unaweza nipa maelekezo jinsi ya kuipata?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji king'amuzi cha startimes nipo moshi

    salam wapendwaa mm nahitaji king'amuzi cha startimes cha antena (used)
Back
Top Bottom