Itapendeza kama tutaweza kutoka na platform nzuri na covenient kwa watu kuweza kuchangia,diaspora can do that i believe,we just need mobilization tu na ndio viongozi walichoomba,tufanye sisi wenyewe huku hiyo mobilization na mfumo mzima then tuwape wao feedback,na mtu wa kuwasiliana nae...