Recent content by KILYA BIYE

  1. KILYA BIYE

    Nguvu ya Neno na nguvu ya Jina katika maisha

    Hapo mwanzo alikuwapo Neno, Naye neno alikaa Kwa Mungu. Mungu aliumba ulimwengu Kwa kutamka: nakuwepo anga, nakuwepo jua na vingine na vyote vikatokea. Sasa basi kumbuka pia kuwa Mungu alimuumba mwanadamu Kwa mfano wake, hivyo wanadamu pia tuna nguvu Kubwa ya kutumia maneno tunayotamka, mfano...
  2. KILYA BIYE

    Tetesi: Afisa wa mgodi wa GGM uliopo Geita aliwa na mamba kisiwa cha Rubondo

    Haijafahamika vizuri kilichotokea lakini timu ya wapiga mbizi wapo ndani ya ziwa victoria eneo la tukio wanaendelea kumtafuta bado hajapatikana.
  3. KILYA BIYE

    Tetesi: Afisa wa mgodi wa GGM uliopo Geita aliwa na mamba kisiwa cha Rubondo

    Habari zenu wadau, Kuna habari inasambaa kuwa, kuna maafisa wa mgodi wa GGM walienda kula maisha huko Rubondo siku ya jana Jumamosi, bahati mbaya wakiwa wanaendelea kutumia vinywaji vyao,mmoja wao akateleza na kudumbukia kwenye maji na hapo akakutana na mamba uso kwa uso na hivyo kupelekwa na...
  4. KILYA BIYE

    Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Sasa unataka kinani waongoze kama wewe hujitokezi?na unafikiri uwezo wa mtu unaweza kupimwa kwa vigezo vip,Acha ushamba wa elimu,kama huwezi tulia Wanaume wapambane kwa hoja sio kubwabwaja
  5. KILYA BIYE

    Amos Siyantemi avunja rekodi kwa hotuba nzuri aliyoitoa wakati akichukua fomu ya Urais

    HOTUBA YA NDUGU AMOS ROBERT SIYANTEMI YA KUTANGAZA NIA YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI YA CCM KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2015 Ndugu wanahabari na watanzania wenzangu wote. Naitwa Amos Robert Siyantemi mtumishi wa...
  6. KILYA BIYE

    Amos Siyantemi avunja rekodi kwa hotuba nzuri aliyoitoa wakati akichukua fomu ya Urais

    ROBERT AMOS SIYANTEMI AJA NA MBINU MPYA KUZUIA UHALIFU Mtumishi wa CCM katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Amos Siyantemi, amesema idadi kubwa ya Watanzania wameanza kupoteza imani kwa Serikali na kuendelea kuamini kuwa chama hicho hakijali wanyonge. Akizungumza na waandishi wa...
  7. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Jukwaa hili ni sehemu ya kupeana taarifa,na kama kuna hoja basi unajenga hoja au kupinga hoja kwa hoja na si matusi,Hii sheria ya mitandao waathirika watakuwa wengi
  8. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Watu vichwa ni vibovu kweli,Kuleta historia ya Mzazi inaonekana kichekesho!Lengo hapa ni kujua chimbuko la Mtia nia,Kiongozi lazima ajulikane vizuri,Maana bila kujua tunaweza kuongozwa hata na wakimbizi.Anayeona wivu naye achukue fomu bado muda unaruhusu,ili tudadavue chimbuko lake
  9. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    kwa sasa ni Katibu Msaidizi wa Ccm Idara ya Mambo ya nje na ushirikiano kimataifa
  10. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Usipojua historia japo kwa ufupi ya wagombea,siku moja mtakuja kuongozwa na IS au Banyamulenge
  11. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Nilikuwa natafuta CV ya AMOS SIYANTEMI,sasa nimeipata ipo hivi,Shule ya Msingi Nyambtilwa Magu,O-level Kinango Secondary,A level Makongo High School,B.A in Political Science and Public Administration Chuo kikuu Mliman (UDSM)Pia ana post graduate ya International Relations kutoka Central for...
  12. KILYA BIYE

    Baba mzazi wa mgombea urais Amos Siyantemi

    Mzee Siyantemi ni Mzee maarufu sana Kanda ya ziwa,Ni mwanasiasa Mkongwe aliyeingia kwenye Siasa akitokea sekta ya Ualimu miaka ya 80,Kabla ya Ualimu mnamo mwaka 1978 aliteuliwa kuwa kiongozi wa Msafara wa Kikundi cha Wanafunzi wa Sanaa kilichosafiri hadi Denmark na kupata mafunzo huko kwa miaka...
  13. KILYA BIYE

    Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Mwaka huu wana CCM wanaitendea haki Demokrasia,Hatutaki majina ya kukaririshwa,Sura mpya kama za kina Siyantemi zinatakiwa kuleta mtifuano mzuri ndani ya chama
  14. KILYA BIYE

    Mfahamu Amos Robert Siyantemi, Kijana mpole na mgombea urais kupitia CCM

    Wivu mbaya,Mwacheni Amos Siyantemi,atest zari lake.aliwahi kuwa Rais wa wanafunzi huko Kinango O level,Kisha akawa mmoja wa mawaziri serikali ya wanafunzi Makongo High school,kisha kuwa Mgombea Urais Chuo kikuu UDSM,ana digrii ya Political Science,Amewahi kuwa katibu wa Ccm huko Geita,Lindi na...
Back
Top Bottom