Ramli ya wazi..ni kama hii.umekwenda kwa mpiga ramli akakuuliza kilichokupeleka kwake ukamsimulia tena kwa hisia nzito kuhusu tatizo lako..akakulengesha kwenye jibu lililotokana na maelezo yako..kuna shida gani hapo kwamba jibu halikuwa sahihi....na ukaanza kulaani kuhusu hiyo Ramli...nadhani...
ninawashauri voda ni bora mkaanzisha suggestion box yenu kwa mtandao wenu ambayo itakuwa active through out..mkawasiliana na mteja faragha kuliko hii thread inaweza kutumika vibaya kuwaharibia biashara..mtakuwa followers soon kwa matatizo yenu kuanikwa hapa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.