Tamko La Pamoja Kuhusu Uchaguzi Wa Marudio Visiwani Zanzibar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Tamko La Pamoja Kuhusu Uchaguzi Wa Marudio Visiwani Zanzibar

Mabalozi na wawakilishi wa nchi za Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Hispania, Sweden, Switzerland, Uingereza na Marekani hivi leo wametoa tamko kuhusu uchaguzi wa marudio uliofanyika Zanzibar tarehe 20 Machi 2016:

“Tumesikitishwa na uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuendesha marudio ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, bila kuwepo makubaliano ya pamoja baina ya pande kinzani na ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa visiwani humo uliotokana na majadilino baina ya pande husika.

“Ili uwe wa kuaminika na kukubalika ni lazima mchakato wa uchaguzi uwe jumuishi na unaowakilisha kwa dhati matakwa ya watu.

“Tunarejea wito wetu kwa Serikali ya Tanzania kuonyesha na kuchukua uongozi katika suala la Zanzibar na kujielekeza katika kupatikana kwa ufumbuzi wa mgogoro huu kwa kupitia mazungumzo baina ya pande husika kwa lengo la kudumisha amani na umoja katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Kwa mara nyingine tunawapongeza wananchi wa Zanzibar kwa utulivu na ustahimilivu waliouonyesha katika kipindi chote cha mchakato huu na kuvitaka vyama vyote na wafuasi wao kuanzisha tena mchakato wa maridhiano ya kitaifa ili kupata ufumbuzi jumuishi, endelevu na wa amani.” chanzo.U.S. Embassy Tanzania
 
ok Tooo much blablahh what are the consequences to the perpetrators of this crime!!!for defying the will of the international community.
 
Hilo tamko ni la zamani just watu wamelibadilisha tarehe tu... yaani tangu siku uliotangazwa uchaguzi ndipo lilipotoka tamko hilo
 
Watuache na Tanzania yetu. Wao walitaka kuweka vibaraka wao wameshindwa. Wasitusababishie ya Libya na Misri hii ndiyo Tanzania bwana.
 
Tamko La Pamoja Kuhusu Uchaguzi Wa Marudio Visiwani Zanzibar

Mabalozi na wawakilishi wa nchi za Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Hispania, Sweden, Switzerland, Uingereza na Marekani hivi leo wametoa tamko kuhusu uchaguzi wa marudio uliofanyika Zanzibar tarehe 20 Machi 2016:

“Tumesikitishwa na uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuendesha marudio ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, bila kuwepo makubaliano ya pamoja baina ya pande kinzani na ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa visiwani humo uliotokana na majadilino baina ya pande husika.

“Ili uwe wa kuaminika na kukubalika ni lazima mchakato wa uchaguzi uwe jumuishi na unaowakilisha kwa dhati matakwa ya watu.

“Tunarejea wito wetu kwa Serikali ya Tanzania kuonyesha na kuchukua uongozi katika suala la Zanzibar na kujielekeza katika kupatikana kwa ufumbuzi wa mgogoro huu kwa kupitia mazungumzo baina ya pande husika kwa lengo la kudumisha amani na umoja katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Kwa mara nyingine tunawapongeza wananchi wa Zanzibar kwa utulivu na ustahimilivu waliouonyesha katika kipindi chote cha mchakato huu na kuvitaka vyama vyote na wafuasi wao kuanzisha tena mchakato wa maridhiano ya kitaifa ili kupata ufumbuzi jumuishi, endelevu na wa amani.” chanzo.U.S. Embassy Tanzania
Waache porojo Zanzibar hakuna mgogoro tena!
Uchaguzi umesharudiwa na serikali mpya vinatarajiwa kuanza kazi!
Mgogoro wa kikatiba ulioikumba Zanzibar Oct 25 umemalizwa na ukamilifu wa taratibu za kikatiba za March 20, 2016!
Wamarekani wanaweza kukumbuka mgogoro wa Al Gore na Bush ambao walitakana kuheshimu katiba na sheria zao! Wao pia wanapaswa waheshmu misingi ya katiba ya SMZ!
 
Watuache na Tanzania yetu. Wao walitaka kuweka vibaraka wao wameshindwa. Wasitusababishie ya Libya na Misri hii ndiyo Tanzania bwana.
Exactly, mchakato wa kidemokrasia wanaoulilia Amerika na jamaa zao mifano yake huwa kama Somalia, Libya, Egypt, Zaire (DRC), Zimbabwe, etc! Kila wanapoingia kuhakikisha demokrasia inapatikana ktk nchi, basi demokrasia yenyewe huishia ktk mtutu wa bunduki!
To hell with American Democracy! Africa we have our own ways of handling things! Nadhani tunahitaji tu redefine Democracy in our context na tuone tunahitaji nini ktk African democracy!
 
Wapumzike kabisa. Wasitupotezee muda wakalale hao

nakuunga mkono mkuu......

African democracy and its application is very different friom that of Americans and other European Nations......

wasitulazimishe wanaloliona wao sawa basi nasi liwe sawa!! wajifunze nao tunaloliona sie sawa basi na wao wanapaswa kuliona sawa
 
Watuache na Tanzania yetu. Wao walitaka kuweka vibaraka wao wameshindwa. Wasitusababishie ya Libya na Misri hii ndiyo Tanzania bwana.
Wewe mwenyewe kila kitu unategemea serikali hiyo hiyo inayo wa tegemea wafadhili, alafu unajidai kuchongoa domo lako kama chuchunge
 
Waache porojo Zanzibar hakuna mgogoro tena!
Uchaguzi umesharudiwa na serikali mpya vinatarajiwa kuanza kazi!
Mgogoro wa kikatiba ulioikumba Zanzibar Oct 25 umemalizwa na ukamilifu wa taratibu za kikatiba za March 20, 2016!
Wamarekani wanaweza kukumbuka mgogoro wa Al Gore na Bush ambao walitakana kuheshimu katiba na sheria zao! Wao pia wanapaswa waheshmu misingi ya katiba ya SMZ!
Mwaka huu lazima muisome namba kwa kuwekewa vikwazo
 
Back
Top Bottom